Saturday, 6 May 2017

HIZI NDIZO FAIDA ZA MAJANI YA MAPARACHICHI

Image result for parachichiImage result for parachichi
Zifuatazo ni faida ya majani ya mparachichi.
Majani ya parachichi humsaidia mwanamke ambaye hupata maumivu wakati wa hedhi.

Unachotakiwa kufanya ni;

Chukua majani kiasi ya mparachichi, kisha yachemshe kwenye maji lita moja, ukijiridhisha yamekwisha chemka epua kisha yaache yapoe, kisha anza kunywa maji hayo kiasi cha nusu kikombe cha chai, kunywa muda wa asubuhi na jioni kwa muda wa wiki moja utaona mabadiliko.

1. Majani ya mparachichi  husaidia sana kuongeza kiwango cha maziwa kwa kinamama.

2. Unachotakiwa kufanya ni
Tatatafuna jani moja la parachichi kila siku, lakini hakikisha jani unalotafuna liwe katika hali ya safi na umeliosha vizuri.

3. Pia majani haya ya mparachichi ni msaada sana katika kutibu majeraha, ili kufanikiwa katika hili unapaswa kusaga majani hayo kisha weka kwenye sehemu yenye jeraha na utaona mafanikio,

4.Majani ya mparachichi pia husaidia kuimarisha kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali.
Pia tunda la parachichi linafaida nyingi sana kwana ni tamu ukila kama lenyewe lakini pia ni tiba ya magonjwa mbalili , juice yake  pia ni tiba.


Hizo ni faida chache kati ya nyingi ambazo hutibika na majani ya parachichi.

21 comments:

  1. pia yanasaidia kuongeza damu

    ReplyDelete
  2. Yanaweza kumsaidia mama mjamzito kuongeza damu

    ReplyDelete
  3. Nashukuru kuniongezea ufahamu

    ReplyDelete
  4. Et huongeza damu majani yake ?

    ReplyDelete
  5. docter hivi hayana madhara kwa mama mjamzito??

    ReplyDelete
  6. naomba kujua majani hayo hayana madhara kwa mama mjamzito na kwannini hayana?

    ReplyDelete
  7. Safi sana somo zuri mno

    ReplyDelete
  8. Kwakuongezea,,majani huongeza kiwango cha damu mwilini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nayatumia vipi Ili kuongeza damu mwilini?

      Delete
  9. Je katika kuongeza damu unafanyaje, na unatumia kwa kipimo gani Dr?

    ReplyDelete
  10. Asante sana kwa somo hilo. Vipi kuongeza damu?

    ReplyDelete
  11. itakuwaje kama MTU akizidisha kiwango cha kunywa maji ya majani ya parachichi zakatumia zaidi ya Lita moja kwa siku?

    ReplyDelete